Latest News

Ant Ezekiel na vituko vyake, bofya hapa uone picha za vituko vyake hapo zamani

Hii ndo Send Off ya Msanii maarufu mwenye vituko vingi kuliko vya Wema Sepetu, huyu anaitwa Ant Ezekiel. Send Off hii imekuwa maarufu  baada msanii huyu mwenye vituko sasa kuamua kutulia na wake

Hapa ni Wema Sepetu na Ant Ezekiel yule mwenye miwani meusi na baibui. Hapa wote waliamua kuwaomba radhi Watanzania kwa vituko vyao na mambo waliyoyafanya. Jamani si jambo jema kwanini wasisamehewe?

Huyu ndiye Ant Ezekiel hapa katika moja ya mopozi yake

Anti Ezekiel ndani ya ukumbi wakati alipokuwa  anafanya vitu vyake

 Ant Ezekiel wakati alipoamua kumwaga radhi

Mapozi yake Ant Ezekie. Wanaume mnasemaje

Ant Ezekiel huyo akipozi 

 Ndiye mwenyewe Ant Ezekiel

Pozi jingine la Ant Ezekiel
Lakini baada ya yote Ant Ezekiel sasa kaacha vituko ni mama wa familia. Yote hayo  yaliikuwa ni utoto sasa amekuwa ameacha. Watanzania msameheni amebadilika. Nongwa ya nini jamani hamumwoni anasaidi cheti cha ndoa

No comments:

Post a Comment

Bongo Video Designed by Templateism.com Copyright © 2014

jameskuzwa. Theme images by Bim. Powered by Blogger.